Natafuta mwanaume

Njoo karibu yng Vick.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
vick28, ukimpata tafadhali uje hapa utuambie, halafu hao wote waliokupm wajulishe wawe wa kwanza kuchangia harusi yako
 
Mimi nina 24 yrs ila baada ya 5yrs ntafika hyo 29.! Vp nafaa?
 
Jamani acheni kubandika namba zenu kwenye mitandao kama hamna akili nzuri.
 
unamaanisha kwamba huko ulipo watu awavutiwi na wewe(watu awajakuona) au unachagua sana sasa umeona umebaki peke yako ehee...ulizani wanaume kama nyanya ukifika muda utaenda kununua.
 
kaa kimya kama hna wazo la maana
 
unamaanisha kwamba huko ulipo watu awavutiwi na wewe(watu awajakuona) au unachagua sana sasa umeona umebaki peke yako ehee...ulizani wanaume kama nyanya ukifika muda utaenda kununua.
poa big brother the chase
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…