Natafuta mwanaume

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Natafuta mwanaume mwenye umri wa miaka 38 na kuendelea
 
Saitama Kein...kidume cha mbegu JF! Miaka 62....retired but not tired....KARIBU bibie
 
utamaduni wa mtanzania ni mwanaume kumtafuta mwanamke syo mwanamke kumtafuta mwanaume au umeshatumika xana
 
lakini mbona huja fahamika zaidi wewe miaka mingapi ukowapi unaishi vipi uko na watoto wangapi uliolewa au bado kuwa muazi unawezakusikia jambo ukasahau lakini ukifanya huwezi kusahau au ukiona huwezi kusahau maana historia yako unaijua.
 
Hilo tangazo mbona halina details za kueleweka..!

Nawe unakuwa utadhani mgeni jamvini jamaaani..! Funguka vizuri bibie nikuunganishe kwa my brother..! Kila la heri..!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…