C cutee Member Joined Feb 9, 2013 Posts 5 Reaction score 6 Feb 14, 2013 #1 umri wangu ni miaka 24 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat umri kuanzia miaka 25-28.anayejijua ana mapenzi ya dhat anipm!
umri wangu ni miaka 24 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat umri kuanzia miaka 25-28.anayejijua ana mapenzi ya dhat anipm!
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Feb 14, 2013 #2 Mwaga sera zako..unataka aweje aweje
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,002 Reaction score 102,849 Feb 14, 2013 #3 Hawa wa mtandaoni mmmmh
Triple G JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 3,105 Reaction score 4,583 Feb 14, 2013 #4 Tupo,lakini huwa nikiona binti ana tamaa ya pesa tu hata dakika haichukui napiga chini.sipendelei a lady kuwa overdependence.kama hauko hivo ni PM.!
Tupo,lakini huwa nikiona binti ana tamaa ya pesa tu hata dakika haichukui napiga chini.sipendelei a lady kuwa overdependence.kama hauko hivo ni PM.!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,976 Feb 14, 2013 #5 24, na uko desperate hivyo. Dah! Shule.umemaliza?
Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,346 Reaction score 26,138 Feb 14, 2013 #6 Tayari nimeku-pm.Nasubiri jibu. Ondoa sasa hii thread
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Feb 14, 2013 #7 Weka picha hasa ya miguu......
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,768 Reaction score 8,039 Feb 14, 2013 #8 Mbona we husemi kama una mapenzi ya dhati.
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 6,182 Reaction score 11,782 Feb 15, 2013 #9 Natafuta sana 0712336687
S Suma Jengi Member Joined Jan 7, 2013 Posts 7 Reaction score 1 Feb 15, 2013 #10 Me niko haujataja sifa zako?
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,341 Feb 15, 2013 #11 Mwenye mapenzi ya this je?
Truth will Remain JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 254 Reaction score 126 Feb 15, 2013 #12 wewe ni nani, unafanya kazi ama unasoma, unaishi wapi, TOA MAELEZO YA KUTOSHA, na useme unatafuta mpenzi kwa ajili ya mikasi ama future??:cheer2::majani7:
wewe ni nani, unafanya kazi ama unasoma, unaishi wapi, TOA MAELEZO YA KUTOSHA, na useme unatafuta mpenzi kwa ajili ya mikasi ama future??:cheer2::majani7:
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,293 Feb 15, 2013 #13 Inakuaje uwe cute afu ukose mwanaume kwa umri huo? au hailipi?
Denis Kasekenya JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 551 Reaction score 166 Feb 15, 2013 #14 Unamtafutia mtandaoni. . .BE WISE BANA
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,665 Feb 15, 2013 #15 Toa maelezo yenye kina vinginevyo unaonekana ni muhuni fulani, take care before doing something,
O oonatha Member Joined Jul 17, 2012 Posts 24 Reaction score 9 Feb 15, 2013 #16 cutee said: umri wangu ni miaka 24 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat umri kuanzia miaka 25-28.anayejijua ana mapenzi ya dhat anipm! Click to expand... Muachie Mungu yeye ndiye anajua who will be your right partner
cutee said: umri wangu ni miaka 24 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat umri kuanzia miaka 25-28.anayejijua ana mapenzi ya dhat anipm! Click to expand... Muachie Mungu yeye ndiye anajua who will be your right partner
CABANA JF-Expert Member Joined Feb 6, 2013 Posts 422 Reaction score 557 Feb 15, 2013 #17 cutee said: umri wangu ni miaka 24 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat umri kuanzia miaka 25-28.anayejijua ana mapenzi ya dhat anipm! Click to expand... Me nipo tayari, naomba mail ,jina lako kamili hasa unalotumia facebook. Mail yangu ni- alexg@rome.com
cutee said: umri wangu ni miaka 24 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat umri kuanzia miaka 25-28.anayejijua ana mapenzi ya dhat anipm! Click to expand... Me nipo tayari, naomba mail ,jina lako kamili hasa unalotumia facebook. Mail yangu ni- alexg@rome.com
S Samil Silsih Member Joined Mar 1, 2013 Posts 94 Reaction score 28 Mar 9, 2013 #19 cutee said: umri wangu ni miaka 24 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat umri kuanzia miaka 25-28.anayejijua ana mapenzi ya dhat anipm! Click to expand... See you at PM
cutee said: umri wangu ni miaka 24 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat umri kuanzia miaka 25-28.anayejijua ana mapenzi ya dhat anipm! Click to expand... See you at PM
Rodcones JF-Expert Member Joined Oct 16, 2007 Posts 402 Reaction score 51 Mar 9, 2013 #20 cutee said: umri wangu ni miaka 24 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat umri kuanzia miaka 25-28.anayejijua ana mapenzi ya dhat anipm! Click to expand... Acha kuzingua watu wewe kama wataka wanaume nenda baa uone kama hutoki na wanaume kumi au ni pm nikuelekeze.
cutee said: umri wangu ni miaka 24 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat umri kuanzia miaka 25-28.anayejijua ana mapenzi ya dhat anipm! Click to expand... Acha kuzingua watu wewe kama wataka wanaume nenda baa uone kama hutoki na wanaume kumi au ni pm nikuelekeze.