...Mdada maelezo yako hayajajitosheleza. Jaribu kuweka nyama zaidi kuhusu wewe ili uwavutie watu kukujua na kuanzisha mahusiano nawe, maelezo yako yamekuwa "straight sana" yaani huna kingine cha kujielezea zaidi ya umri wako tu?.
Nakutakia mafanikio mema na Mungu akupe mwanaume mwenye upendo wa dhati na kumjua Mungu.