riwaki Senior Member Joined Aug 9, 2014 Posts 180 Reaction score 53 Nov 9, 2015 #1 Mimi ni kijana ninajitegemea na kipato cha wastani nahitaji mwanamke mwenye miaka tajwa hapo juu wa kudate naye mimi nina miaka 31 hawa wa chini wengi wao sivutiwi nao kwa aliye tayari ani PM
Mimi ni kijana ninajitegemea na kipato cha wastani nahitaji mwanamke mwenye miaka tajwa hapo juu wa kudate naye mimi nina miaka 31 hawa wa chini wengi wao sivutiwi nao kwa aliye tayari ani PM
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,398 Nov 9, 2015 #2 mmmmm,kumekuchaaaa,sasa kijana wewe wa 31yrs unataka mwanamke alokuzidi umri ili iweje?