Burungutu la pesa
Senior Member
- Feb 21, 2015
- 117
- 32
hahahahaaa! jamani mi nko serious bana! nataka mke.
Mimi ni kjana wa miaka 34 natafuta mwanamke aliye tayari kuolewa. Sibagui kabila awe na umri kuanzia 20-32, awe na elimu kiwango chochote. Anitafute kwa namba hii 0757597555.
karibu mke wangu uliye tayari nakusubiri mwenzio maisha hayaendi bila usaidizi wako.
Je una tabia zipi? Kama ubahili si moja ya tabia zako basi vyema... Je utanipa kila ntakachotaka? Ofcourse sitotaka unijengee ghorofa hewani lakini vitu kama less wig,high heels, top dress,makeups na mambo kama hayo ntapata bila usumbufu?!.. Je kagari kakutembelea? Shoppings na kula nachotaka Je?!.. Kama possible basi karibu and I will give you Love'....
..