Mimi Ni Mwanaume,umri Wangu Ni 30 natafuta mke wa kuoa,
>naishi dar.kwa mawasiliano zaidi ni pm.usisahau kuweka namba ya simu.
Mkuu umesahau kuweka kazi au biashara unayofanya bila kusahau elimu yako .
Mimi hapaaaaa....
Oooh kukmbe keshataja basi awasubiri watakujaKazi/Biashara ni sawa, ila elimu mbona kaitaja; ingawa akili ya ziada inahitajika kuitambua..."elimu Yangu Ni Chun."
Kila la Kheri Ablessed