Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

Bob6

Member
Joined
Aug 27, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46,nimejitokeza hapa kwa lengo la kutafuta mwanamke wa kuoa.Awe na umri kuanzia miaka 42 na kuendelea
 
Ngoja waje. Ila sorry mkuu hujawahi kuwa na mke at that age?
 
Nenda kwenye makanisa ya ki mjini mjini kama upo dar,
kuna nyakati huwa wanakesha wakimwomba mungu kuhusu ndoa
 
Jibu swali! Umri huo hujawahi kuoa? Mgane? au? Au unataka watu wamwagiane tindikali? Jielezee maana si kawaida kwa umri huo kuwepo tu! If nooo basi kuna mahali kuna shida.
 
Utapata bro umri si kigezo,kama una mavumba watakuja faster,kuna yule jamaa wa kenya alikua mwanasheria sir chars njonjo kaoa akiwa na miaka 52,juzi ndo kapata mjukuu akiwa na 94 years,so usijali jipange hujachelewa,ng'ombe hazeeki maini.
 
  • Thanks
Reactions: C.K
aisee umejitahidi kujitunza,,huyo mwanamke wa miaka 42 atakusaidia maana mtakula maisha uzazi wa mpango uko guaranteed tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom