yani hakuna kitu kinacho kera kama sigara. mbona haujaweka umri wako na dini yako?
Una maswali mengi!Umri wako, una nyumba au umepanga?, kazi gani unafanya?, uko tayari kubadilika? kwa nini uliachika kwa mkeo?, mawasiliano ya mkeo uliyeachana naye yanahitajika, uko tayari kupima ukimwi?
Nikikwambia uache kuvuta sigara utakubali kuacha?
Umri wako, una nyumba au umepanga?, kazi gani unafanya?, uko tayari kubadilika? kwa nini uliachika kwa mkeo?, mawasiliano ya mkeo uliyeachana naye yanahitajika, uko tayari kupima ukimwi?
na huyo mwanaume atakayekukubalia kuacha sigara au kunywa pombe au kuacha kuangalia mpira ,,,,,,,,,,, huyo siyo mwanaume wa ukweli........... sioni msimamo mimi hapo.
Unaacha vzri sana tu,tena wala sikulazimishi na wala hatugombani!
unaambiwa tu kwa upendo
na huyo mwanaume atakayekukubalia kuacha sigara au kunywa pombe au kuacha kuangalia mpira ,,,,,,,,,,, huyo siyo mwanaume wa ukweli........... sioni msimamo mimi hapo.
Wana JR, niko hapa leo kutafuta mwanamke wa kuoa, ni kweli kwamba asilimia kubwa ya mahusiano yanayodumu au kukubalika ni kwa wale watu ambao wanafahamiana kwa muda mrefu, kwamba utamjua mtu anaishi wapi, wazazi wake, kabila, lake, dini yake nk, lakini ki-ukweli ukifuatilia vitu hivi, unaweza usipate mwenzi wako, kwani sio wote unao wafahamu wanafaa kuwa nawe ki-ndoa, hivyo basi kwa yule ambaye anaamini mtazamo wangu, tafadhari tuwasiliane, Ninahitaji mke wa kuoa ila awe anajua kusoma na kuandika, sijali kama uko divorced au single! Napenda mtu atakae weza ku-establish mapenzi upya kwa mtu mgeni from no-where! Please, tuwasiliane!
Kwa upande wangu, najua kusoma na kuandika, am a divorced man, nina mtoto mmoja wa kiume, ninafanya kazi, ninaishi Dar Es Salaam. Navuta sigara na nakunywa pombe lakini sio sana, niko tayari kubadilika kwa nitakaye kuwa naye kwa namna tutakavyokubaliana!
Acha kuvuta sigara bwana, wanawake wengi hatupendi mwanaume anayevuta sigara.
Umri wako, una nyumba au umepanga?, kazi gani unafanya?, uko tayari kubadilika? kwa nini uliachika kwa mkeo?, mawasiliano ya mkeo uliyeachana naye yanahitajika, uko tayari kupima ukimwi?