Au nimesoma vibayalazima awe na na tatoo kiunoni,
ukipata mwanamke mwenye sifa zote hizo niite mbwa.. Nipo nimekaa pale! [emoji124]ni lazima awe na na tatoo kiunoni, pia asiwe ameharibu ngozi yake wala nywele zake kwa maremborembo, awe hanywi, pombe, awe mcha Mungu pia awe na elimu kuanzia masters na asiwe mtu wa kupenda social medias au udaku
Kuna Miss Natafuta ...yumo humu, umejaribu kuongea naye?Ndugu wanajamvi. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.
Nimeamua kuacha na life hili la kisera na la kujiamulia nitakavyo na kuanza life litakalonifanya ku surrender na kuji limi au kulimitiwa kwenye baadhi ya mambo.
Pamoja na uamuzi huo muafaka kwangu, hili halienda patulo bila vigezo. Aina ya mwanamke ninayetafuta ni lazima awe na na tatoo kiunoni, pia asiwe ameharibu ngozi yake wala nywele zake kwa maremborembo, awe hanywi, pombe, awe mcha Mungu pia awe na elimu kuanzia masters na asiwe mtu wa kupenda social medias au udaku.
Zaidi asiwe mwanamke ambaye akivaa nguo inampendeza bali chochote atakachovaa anakifanya kionekane kizuri. Urefu wake asizidi wala asipungue cm 177, na uzito usizidi Kg 68.
Kama hayupo basi niachane nikakate mgomba niuweke ndani.
Nawakaribisheni...sitaki Inbox
We ni mufupi?Hautaki emolo ndugu yangu.
Ufupi mbaya sana
KAbisa he is not seriousKwa tuliosoma Cuba tumekuelewa mjumbe.
This is just satire/irony/sarcasm...
Nothing serious here....
sasa mbona hapo mkuu umetaja sifa za wanawake 7 tofauti ... lakini aya endelea kuwatafuta ukiwakosa JF jaribu kuwasearch GOOGLENdugu wanajamvi. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.
Nimeamua kuacha na life hili la kisera na la kujiamulia nitakavyo na kuanza life litakalonifanya ku surrender na kuji limi au kulimitiwa kwenye baadhi ya mambo.
Pamoja na uamuzi huo muafaka kwangu, hili halienda patulo bila vigezo. Aina ya mwanamke ninayetafuta ni lazima awe na na tatoo kiunoni, pia asiwe ameharibu ngozi yake wala nywele zake kwa maremborembo, awe hanywi, pombe, awe mcha Mungu pia awe na elimu kuanzia masters na asiwe mtu wa kupenda social medias au udaku.
Zaidi asiwe mwanamke ambaye akivaa nguo inampendeza bali chochote atakachovaa anakifanya kionekane kizuri. Urefu wake asizidi wala asipungue cm 177, na uzito usizidi Kg 68.
Kama hayupo basi niachane nikakate mgomba niuweke ndani.
Nawakaribisheni...sitaki Inbox
Ngoja aje kusoma vigezo halafu ajitathmini kama ndiye au niendelee kusubiriKuna Miss Natafuta ...yumo humu, umejaribu kuongea naye?