Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

Wille phestoh

Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
7
Reaction score
0
Nina umri wa miaka 27 npo Dodoma n mfanyabiashara natafuta mwanamke wa kuoa mwenye mapenzi ya kweli maana nmekuwa na wanawake ambao hawana mapenzi ya dhati wameniumiza sana kiukwel haijalishi umri ila uwe na mapenzi ya dhati ukitaka kunipata 0716693929 Asante sana
1476938140870.jpg
 
teehheheheee......... kila la kheeirr..
 
hHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA Balee inamambo hasa kipindi hiki cha utandawazi sasa kijana mdogo 27yrs unakuja na mada hii na umri huo ushaumizwa sana ? hapa nchi ya viwanda ni baadae sana
bwana yule.jpg
 
Nina umri wa miaka 27 npo Dodoma n mfanyabiashara natafuta mwanamke wa kuoa mwenye mapenzi ya kweli maana nmekuwa na wanawake ambao hawana mapenzi ya dhati wameniumiza sana kiukwel haijalishi umri ila uwe na mapenzi ya dhati ukitaka kunipata 0716693929 Asante sana
View attachment 421184
Ukijaza hizi sehemu zilizoachwa wazi utanioa, una masters........... una nyumba........ una gari....... una accont bank........... mshahara wako usoma kuanzia digit saba.......... una master card........ baba na mama yako wanandoa............ wanaishi pamoja mpaka sasa........... ndoa yao na umri wako kubwa ni ipi........... haya maswali ya kujibu ndiyo au hapana ukishajibu ntakupa maswali ya kujieleza
 
Sasa ww maswali yote hayo??? Mm nakuuliza swali moja tu? Are you virgin???
 
hahahahaha angekuwa msukuma mngesema, huyo mtani wang kachemka na hizo suspender aka kupatwa kwa necktie na suspender!!! akina mama jitokezeni mtoe tathimini kwa huyu mfanya biashara.
 
kama wewe unalalamika kuumizwa inawezekana we ndo chanzo cha kukimbiwa, timiza majukum yako kama mwanaume ili wanaokuacha wasiende kusema heri wametua mzigo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom