Msaidie kijanaMtu kutafuta mpenzi mida hii, ni kombinenga ya upweke na nyΒ£ngΒ£.....pole kijana.
Jiwashe na kimoko chap ulale hili nalo litapita.
Umri bro umri.....Msaidie kijana
Forge chetiUmri bro umri.....
Umri na sura vitakataana.....Forge cheti
mbona umeni tag
π π π π π π πMtu kutafuta mpenzi mida hii, ni kombinenga ya upweke na nyΒ£ngΒ£.....pole kijana.
Jiwashe na kimoko chap ulale hili nalo litapita.
We bado dogo unakimbilia mabomuMakazi Dar Es Salaam
Miaka 26
Jinsia Me.
Dini Muislamu
Awe
Dini: Muislam
Miaka 20-23
Makazi Dar Es Salaam
Kama atapatikana anicheki whatsapp 0743366810 kama anataka tufahamiane zaidi.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app