Natafuta mwanamke wa kiislam wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kiislam wa kuoa

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
17,531
Reaction score
13,987
Mimi mwanaume, umri wangu miaka 30,mjasiriamali.... natafuta mwanamke mwenye kazi au kajiajiri, hard workn, mwaminifu, mwenye upendo sio mchoyo, mapenzi ya dhati umri kuanzia 20 hadi 28...aliyetayari PM me plz tuchonge
 
mchumba wa kiislamu tafuta kuanzia miaka 9 miaka 28 kama hajaolewa bado hasara hiyo.
 
...aliyetayari PM me plz tuchonge[/QUOTE]
unachonga vinyago au vinu
 
...muoe white widow,ngoja aje akisikia...
 
Back
Top Bottom