Uko tayari kufua , kuosha vyombo na kufungua mlango usiku wakati mkeo akitoka matembezini? kama uko tayari ni PM HATA HIVYO NAONA KAMA UMEZEEKA MUZIKI WA SGD HTAUWEZA
Enzi zile wewe unachukua chumba Guest unalala. Usiku unagongewa mlango na mtu "aliyepotea chumba" kama anakufaa utaamua wewe, kama vipi vuta subira utagongewa tena. Labda siku hzi wapo kidigitali zaidi. Na kwa taarifa yako ni mmoja ya mikoa michache ambayo akina dada wa vikoroboi walishindwa kufanya biashara yao. Wakiuza wenyeji walikuwa wanagawa bure!