Natafuta Mwanamke Mwenye Shida Ya Mume Tu!!

Mbilimbi

Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
32
Reaction score
3
Nikiwa na akili timamu na bila kushawishiwa na mtu mwingine,niameamua kwa nia moja kutoa ombi langu hapa,kwa madhumu ya kutafuta MKE WA MAISHA,ninatafuta MWANAMKE ambaye mwenye shida tu ya kuitaji MUME. Mimi ni MWANAUME mwenye Umri kati ya miaka 45-50 na niko Single!!Natafuta MKE mwenye UPENDO wa Kweli toka moyoni na mwenye MAAMUZI tayari ya kuitaji MUME. Mawasiliano yangu ni 0715338527 au email ni mbilimbi4@gmail.com KARIBU MKE
 
Umri huo, je wewe ni mtalaka au mjane? Una watoto wangapi?
 
Nikiwa na akili timamu na bila kushawishiwa na mtu mwingine,niameamua kwa nia moja kutoa ombi langu hapa,kwa madhumu ya kutafuta MKE WA MAISHA,ninatafuta MWANAMKE ambaye mwenye shida tu ya kuitaji MUME. Mimi ni MWANAUME mwenye Umri kati ya miaka 45-50 na niko Single!!Natafuta MKE mwenye UPENDO wa Kweli toka moyoni na mwenye MAAMUZI tayari ya kuitaji MUME. Mawasiliano yangu ni 0715338527 au email ni mbilimbi4@gmail.com KARIBU MKE

Huyu Ushampata? tehe tehe tehe.....

"
C:\Users\INTERN~1\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.png
Natafuta Mfanyakazi wa Saloon ya Kike!
Natafuta mfanyakazi wa Saloon ya Kike,eneo la Kazi lipo MBEZI YA KIMARA,awe anajua shughuli zote za saloon ya Kike,itakuwa vema akiwa anaishi eneo jirani na eneo la kazi,tuwasiliane kwa 0763 47 47 73"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom