Natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli

Thifor

Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
19
Reaction score
1
Habari zenu ndugu,

Mimi nahitaji mwanamke mwenye sifa hizi;
-Awe mkweli
-Rangi yoyote
-Kabila lolote
-Uchumi wowote
-Maziwa madogo
-dini yoyote
-Sura yenye mvuto
_Umri 20-25
_Asiyemgumba/mgumba
_Asiye na elimu/mwenye elimu yoyote

Nitafute kwa
0716214072
 
Maziwa madogo!!! Hahahaaa hapa ngoja nitoke ndukiii
 
Reactions: amu
Aaah! Mbona Mie Hunidanganyi Unaniambiaga Ukweli

Wewe kweli kila kitu tunachofanya ni cha kweli sijakudanganya...ila sasa kwenye idadi ya watu ambao nilishakuwa nao kweny mahusiano ile idadi niliyokupa sio ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…