Habari zenu waungwana,
Najitokeza hapa kutafuta mchumba muislam ambae Mungu akijaalia aje kuwa mke wangu,nipo serious nahitaji kuwa na mchumba kwa wakati husika,mimi ni muajiriwa Serikalini na ninafanyia kazi Kanda ya Ziwa.
Mwanamke ninae muhitaji lazma awe na sifa zifuatazo;
- Awe serious pia kwa hili jambo
- Awe mweupe kihasi\maji ya kunde
- Awe mnene wastani
- Awe mrefu
- Umri usio zidi miaka 22
- Elimu kuanzia IV na kuendelea
NB: Nipo serious kweli na ninahitaji mtu alie serious
Pia alie tayari ani PM tupeane mawasiliano