mdogo wangu utuuzima unaanzia miaka 18 naimani unalifahamu hilo! me nina mtalaka wangu tulishindwana mambo fulan madogo tu sema me nimeshindwa kuyavumilia, ila yupo oder kabisa (bado ipo vizuri sana) yaani kama ni gari ya mtumba basi hiyo ni zile za moja kwa moja japani bila kutumika dubai! tatizo lake anapenda sana matumizi makubwa bila kujali kipato cha familia! tangu tumeachana amekua akitamani kuolewa tena lakin anasema bado hajapata mwenye nia!