Natafuta mwanamke age 20 to 50years

Natafuta mwanamke age 20 to 50years

duh kweli dunia ina vituko,hiyo range yako imenfuraisha, yani kwa 20 yrs au 50yrs yote sawa tu,haha
 
Unaishushia hadhi jf,hao wa kufurahishana tu wapo kwenye madanguro.

Uwe na hela pia
 
mbona hiyo range ya age ni kubwa sana duh..... we unamiaka mingapi?
 
usimuulize miaka, anaweza kukuambia umri wake kati ya miaka 15 mpaka 55, haha! chezea wazee wa big range wewe

hapana umri ni miaka 45 kwani hiyo range hainifai? nataka kuwa na wigo mkubwa zaidi nd sababu tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom