Natafuta muuzaji wa Pikipiki

Weka na picha bila kusahau bei Ngelejakigamboni
 
Last edited by a moderator:
Nauza Yamaha DT175,kama unahitaji nitumie PM
 
Ninayo Sanlg ilikuwa bodaboda nikamnyang'anya naiuza bei poa sana laki 6 bila kupunguza hata senti moja inatembea kama marekebisho ni madogomadogo tu na huwa natembea nayo ninapowahi sehemu. Kwa muhitaji serious anicheki 0713791233
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…