Natafuta muuza nyama (butcher).

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,337
Reaction score
2,907
Habari wadau, kama heading inavyosomeka hapo, niko kwenye mchakato wa kufungua butcher.
Kwa maana hiyo natafuta mtu mwenye uzoefu wa uuzaji wa nyama.
Nategemea maeneo ya Mbagala, Dar es salaam.
Sifa: Awe mwaminifu ambaye naweza kumwachia biashara akaisimamia vizuri.
Mawasiliano: Ni PM au mkyenju@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…