Natafuta mume

Mbona unajidhalilisha utu wako.Kwa nini unajiweka sokoni kama bidhaa isiyo na thamani?.Kumbuka wewe ni wa thamani na Mume mwema utapewa na Mungu..Acha kudhalilisha utu wa mwanamke

Toka nje ya box, tulivyokua tunaandika barua kutongoza na sisi tulikua tunajiuza au ni ile kukariri kwamba mwanamke hatakiwi kueleza anachojiskia?
 

Wee nae huko nako ni kukandamiza haki ya mwanamke! anaruhusiwa kufanya chochote ili mradi asivunje sheria za nchi! wew naona bdo upo ki analogy zaidi wenzako tupo Digital zaidi
 
Ndo mimi hamuwez kunibadulisha na fikra zangu kama nimewachafua kaleni ndimu mxieeeew............mnajioma mpo sana perfect kwa kuishi maisha ya digital hamna hata aibu na wala hamniumizi kitu ninachosisitizia kama kuna mtu nimemchefua sana na anajiona yupo perfect more than me kwa chochte anachoshauri akaongeze chumvi alitoe rohon limtoke wapuuuzi wenyewe mliosema mimi ni mpuuzi, mxiewwwwwww
 

ni pm tuongee vizuri
 

tumana namba yako plz
 

Ulichokiandika npumbabkwelili.
 

wangapi wamepata ndoa kupitia jukwaa hili? mahusiano na ndoa huanzia popote hata kwenye daladala. ulitaka aende kanjsan amwambie mchungaji? alokwambia hamuombi mungu nani? hivi ukishaomba mungu ndo unakaa usubiri akuletee? acha mazarau na kujiona wewe umekamilika kwenye hii dunia wewe pia unamkosea mungu sana
 
Habari zenu wanajamvi,

Mimi ni mdada wa miaka 27 ,mkristo,nipo Arusha,elimu yangu ni kidato cha nne,nimeajiriwa serikalini. Natafuta mume kuanzia miaka 30-36,mkristo,awe na kazi au biashara ya kuweza kujikimu kimaisha.

Aliye tayari tuwasiliane.

Mbona umri bado unakubari kwanini usitafute kwa macho utafute mtandaoni utalia wewe ndoa si kitu cha mchezo ivo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…