Wewe,humu sio fb na tweeter ambako wamejaa watoto. Humu kuna bibi na babu zako. Jaribu kufuatilia coments za watu ndo utajua huku sio kwa watoto. Just jiulize Andrew Nyerere ana miaka mingapi? Yuko humu na age mate wake kibao!
Smile njoooooooooooooo
Best hiyo si ndio kazi ya referees lol. Unapewa namba za maex 3, unawapeleka kwenye biya mnahojiana.
OK sawa mi nakubali kuwa labda sina umri mkuubwa kivile ila nnachojua ni kuwa nimekuwa sana kimawazo..kulingana na mazingira na vitu vingine...na mimi still namshangaa 44 yrs unatafuta mume ili iweje...hata menopause keshaingia possibly...what for??? 44 yrs uko hai...ni muda muafaka wa kumtafuta mungu kwa nguvu zote na kuhakikisha unaonyesha vijana na watoto (wajukuu) njia... ebu fikiria bana...acha kufata mkumbo na mambo ya kisasa...fb inaweza kua na watoto sawa..ila twitter sikubaliani na wewe...mimi siko fb...niko twitter...twitter hamna watoto/au watu wavivu kupambanua mambo.

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 44 natafuta mwenza, mwenye mapenzi ya kweli nina mtoto moja wa kike.Napenda mwanaume mwenye kujishugulisha iwe biashara au kuajiriwa, kama ana watoto wasizidi 2, kwa yule alie serious tu ani PM
it dosnt matter if she is 44 or 70,its her life,she deservs to be happy like anyone else,and who told u tht older women cant marry....?look at Tina Turner kafunga ndoa tu juzi at the age of 70 and she looked beyond stunning.LIFE IS TOO SHORT ohhhhhhhhhhh#Team be happy
Hey,jaman mbona watz tunakua hivyo?huyu dada anatafuta faraja au tulizo la moyo wake ss tunamkatisha tamaa,laiti ungekuwa ww ungejisikiaje?ana haki ya kikatiba kutoa maoni yake kama halikuhusu achana nalo,eboo acheni hizo bhana,wapo nini maana ya utandawazi?dada hebu ni PM achana na wasioelewa maana ya utandawazi.