AUNT HAPPY
Member
- Mar 29, 2013
- 10
- 1
Nadhan huo ni mtazamo wako tu,mm c shoga ni mwanamke nilie kamilika haswaa!
Mi ninakutaka sana tu ila bado miaka 2 ili nifikie vigezo vya umri' ila natafuta mke'Habari zenu wana jf.natafuta mume.nina miaka 31 nina Elimu ya Diploma ya Procurement and supply nimeajiriwa serikalin, nina mtoto wa kiume wa miaka 6,mm ni mnene wa wastan,rangi ni maji ya kunde.nina upendo wa kweli kabisa.sifa za mume ,nataka awe na umri wa miaka kati ya 37 hadi 45 awe na Elimu angalau inayokidhi kiwango,awe na upendo wa kweli,awe anafanya kazi au mjasiriamali na awe anajishughulisha.alieguswa ani PM
Yawezeka ameachana,au alifiwa lkn wote ni wanaume nao wana haki ya kupata mke.
Ha ha ha ha a a a a a a a a a a! Yaelekea umewahi kutana nao mkuuwanaotumia majina ya auntxxx wengi ni mashoga, natumaini wewe si shoga
Ha ha ha ha a a a a a a a a a a! Yaelekea umewahi kutana nao mkuu
Mi ninakutaka sana tu ila bado miaka 2 ili nifikie vigezo vya umri' ila natafuta mke'