Yaan mapenzi ni kitu Cha ajabu sana yaan nimeyashuhudia nimejionea Nina shuhuda.....yaan kuisimulia labda Kwa audio.....
Ukimpata a real soul mate yaan mapenzi yata jiendesha yenyewe......
Unaweza kukutana na mtu hujui anapo Kaa, hujui ndugu, mkapendana mpk ukajiuliza kulikoni.....?
Bado nayatafakar na kujiuliza sana mapenzi ni kitu Cha ajabu sana yaan mapenzi ni kitu Gani?