Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,525
Hakuna hela hakuna mapenzi. Siku nikiwa na hela nitanunua mapenzi.Nikutakie kila lenye kheri mrembo, ila nilichogundua kwenye bandiko lako................
1. Wewe si kibarua. Una kazi yako stable tu
2. Wewe sio mgeni kiviiiiile JF, yawezekana una id nyingine (Sio mbaya lakini)
3. Umesha settle na maisha sasa, ni mtaji kwa atakaekupata
Wazee mchukueni mama huyu mfurahie maisha humu duniani. Maisha ya ndoa sio mabaya kama baadhi ya watu wanavyotuaminisha kila siku, inategemea tu chemistry yenu mnaiweka vipi. Mkijuliana aaaaah maisha ni matamu sana
How do you know if she's a cute?Kila lenye kheri cute
*Do you know each other,. Nimecheka sana😂How do you know if she's a cute?
Are you knowing each other?
Mbona unawapa watu wengine bahati ya mtende?Nikutakie kila lenye kheri mrembo, ila nilichogundua kwenye bandiko lako................
1. Wewe si kibarua. Una kazi yako stable tu
2. Wewe sio mgeni kiviiiiile JF, yawezekana una id nyingine (Sio mbaya lakini)
3. Umesha settle na maisha sasa, ni mtaji kwa atakaekupata
Wazee mchukueni mama huyu mfurahie maisha humu duniani. Maisha ya ndoa sio mabaya kama baadhi ya watu wanavyotuaminisha kila siku, inategemea tu chemistry yenu mnaiweka vipi. Mkijuliana aaaaah maisha ni matamu sana
😂napenda kutumia neno "cute" to any womanHow do you know if she's a cute?
Are you knowing each other?
Oh hapo nimekusoma mkuu 😊😂napenda kutumia neno "cute" to any woman
Comment ya kumsifu mtu ambae hakuweka avatar imenishtua kidogo 😂😂😂*Do you know each other,. Nimecheka sana😂
Ukashindwa kuniita mapema nipate mrembo au roho mbayaKila lenye kheri cute
Njoo mammy tuyajenge....upo mkoa gani?Habari wana jf,
Mimi ni mwanamke wenye umri wa miaka 33. Mimi ni kibarua tu wa kiwanda fulani. Nimejitokeza jukwaa hili kutafuta life-mate partner ambaye ana uhitaji kama wangu.
Awe na akili timamu na awe shughuli halali. Umri kuaninzia 34 na kuendelea, awe muwazi na mkweli. Kwa aliye tayari karibu sana sana pm iko wazi.
Asanteni.
Karibu sanaOh hapo nimekusoma mkuu 😊
Kila la kheri mamii, utapata tu. Tuna vijana kibao humu wanatafuta wenza.
Mimi ni bonge la ME na nina vigezo vyote vya huyu mrembo tatizo ni moja tu! NIMESHAWAHIWA na mrembo mwingineMbona unawapa watu wengine bahati ya mtende?
Wewe ni ME au KE.. kama ni ME je wewe hauitaki?
Hao waliopo huko mitaani ndio hao hao waliopo humu JFMi sijawai amin km mtandaoni unaweza pata mtu sahihi
Km eneo la kazi, mitaa unayokaa, ulikozaliwa umekosa kupata ambako unaona matendo ya wahusika sembuse huku