Nambie bibieHahaaa, naloliii
Kafungue unitag nije kuchangia, hakikisha bebe hayupo humu maana yalonikuta sina hamu
Kupiga stori? Kumbe hukuwa hata unatafuta mumeNdio lengo la uzi mpenzi
Mambo!Nambie bibie
Kweli kabisa, mwendo wa pesa tuShwari kabisa Nadhani jina lako na kabila yangu vina uhusiano trna wa vina7
Shwari bibie, mzimaMambo!
njoo pm Tutengeneze ColaboKweli kabisa, mwendo wa pesa tu
Jamani nasisitiza mimi ni la saba B na si vinginevyoHapa ndio huwa nachanganyikiwa mtu anaesema ni darasa la saba anaeza andika vizuri kulinganisha na mtu anaejifanya amesoma,
Vitu kama HESHIMA, NIDHAMU, BUSARA ni vitu ambavyo ni bure kabisa kuvipata ila kwa wadada walosoma vinawashinda ndio maana watu wengi wanajiolea hawa hawa wa darasa la saba, magraduates wanabaki tu kupigana majungu kwene social medias huku umri unasonga tu, ikumbukwe kwamba kwa mwanamke getting married is a dream come true...
ALL THE BEST NDUGU....
PESAFafanua: Awe anajua kutumia uanaume wake.