Natafuta mume

Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nimeajiriwa na npo Dar. Natafuta mwanaume aliye serious kuwa na mimi.

Vigezo:

Awe muislam
Mkazi wa Dar.
Aliyejiajiri or aliyeajiriwa.
Umri 27_30.
Kabila lolote.

Kama haupo serious please dont come pm.
Umeshampata au bado tujuze basi ili tisijerundika ma pm kwako!
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nimeajiriwa na npo Dar. Natafuta mwanaume aliye serious kuwa na mimi.

Vigezo:

Awe muislam
Mkazi wa Dar.
Aliyejiajiri or aliyeajiriwa.
Umri 27_30.
Kabila lolote.

Kama haupo serious please dont come pm.
How many have you got...
 
Ukiwakuta njiani ukitongoza unatoswa ila huku mitandaoni wanatafuta daaa jaman
 
Iyo safi.....
Ngoja utatirejesha na mirejesho
 
Wewe sio mtu wa mchezomchezo
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nimeajiriwa na npo Dar. Natafuta mwanaume aliye serious kuwa na mimi.

Vigezo:

Awe muislam
Mkazi wa Dar.
Aliyejiajiri or aliyeajiriwa.
Umri 27_30.
Kabila lolote.

Kama haupo serious please dont come pm.
You are not serious, madam!
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nimeajiriwa na npo Dar. Natafuta mwanaume aliye serious kuwa na mimi.

Vigezo:

Awe muislam
Mkazi wa Dar.
Aliyejiajiri or aliyeajiriwa.
Umri 27_30.
Kabila lolote.

Kama haupo serious please dont come pm.

Achana na wanaume wa Dar mkuu utaishia kupigwa karobo bao!
 
Sawa unatafuta mume unaitwa nani? Picha tuma na my contact0688816943
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…