Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 5,959 Reaction score 15,176 Mar 21, 2025 #101 Kinoamiguu said: Hahahaha. Vibonge na mauchafu yao hawajisafishi Click to expand... πππ. Vibonge ni wavivu sana..
Kinoamiguu said: Hahahaha. Vibonge na mauchafu yao hawajisafishi Click to expand... πππ. Vibonge ni wavivu sana..
R RESILIENT KATO JF-Expert Member Joined Aug 21, 2024 Posts 4,029 Reaction score 7,775 Mar 21, 2025 #102 Kenyans ni feminist first grade!!
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,494 Reaction score 29,283 Mar 21, 2025 #103 dfw_lexyl said: Awe na hela ya kujimu mahitaji yangu Bali Mimi I will be a submissive wife Nina miaka 22 Mimi ni mwana mitindo natoka Kenya ninahitaji mapenzi ya kweli nanipo serious Kama Kuna yoyote anaitaji mahusiano yakudumu mpaka ndoa naomba uje PM tafadhali tuyajenge Click to expand... Kama ni mwana mitindo tena ushakosa sifa kwangu...
dfw_lexyl said: Awe na hela ya kujimu mahitaji yangu Bali Mimi I will be a submissive wife Nina miaka 22 Mimi ni mwana mitindo natoka Kenya ninahitaji mapenzi ya kweli nanipo serious Kama Kuna yoyote anaitaji mahusiano yakudumu mpaka ndoa naomba uje PM tafadhali tuyajenge Click to expand... Kama ni mwana mitindo tena ushakosa sifa kwangu...
T Transisco06 JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 1,033 Reaction score 1,006 Mar 22, 2025 #104 Lihove2 said: nyie wakenya nasikiaga ni wababe sana.mnatesa sana wanaume Click to expand... Anataka ardhi ya Morogoro na Iringa,wamegundua Tz Kuna fursa na ccm imelala
Lihove2 said: nyie wakenya nasikiaga ni wababe sana.mnatesa sana wanaume Click to expand... Anataka ardhi ya Morogoro na Iringa,wamegundua Tz Kuna fursa na ccm imelala
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,588 Reaction score 7,965 Mar 23, 2025 #105 dfw_lexyl said: Awe na hela ya kujimu mahitaji yangu Bali Mimi I will be a submissive wife Nina miaka 22 Mimi ni mwana mitindo natoka Kenya ninahitaji mapenzi ya kweli nanipo serious Kama Kuna yoyote anaitaji mahusiano yakudumu mpaka ndoa naomba uje PM tafadhali tuyajenge Click to expand... What do you have to offer apart from having sex with you daily? Wanawake mna matatizo sana ya kiakili.
dfw_lexyl said: Awe na hela ya kujimu mahitaji yangu Bali Mimi I will be a submissive wife Nina miaka 22 Mimi ni mwana mitindo natoka Kenya ninahitaji mapenzi ya kweli nanipo serious Kama Kuna yoyote anaitaji mahusiano yakudumu mpaka ndoa naomba uje PM tafadhali tuyajenge Click to expand... What do you have to offer apart from having sex with you daily? Wanawake mna matatizo sana ya kiakili.
Jini Kisiranii JF-Expert Member Joined Feb 20, 2018 Posts 2,021 Reaction score 2,455 Mar 23, 2025 #106 Mungu akupe hitaji la moyo wako, japo umeanza vibaya sana, inaonekana unatafuta green pasture hapo ulipo maisha yamekupiga. Na hakuna mwanaume anayetaka parasitic leeching woman, washkaji watapita hakuna anayetaka kunyonywa
Mungu akupe hitaji la moyo wako, japo umeanza vibaya sana, inaonekana unatafuta green pasture hapo ulipo maisha yamekupiga. Na hakuna mwanaume anayetaka parasitic leeching woman, washkaji watapita hakuna anayetaka kunyonywa
kp jr_001 Member Joined Dec 16, 2024 Posts 31 Reaction score 32 Apr 10, 2025 #107 kp jr_001 said: is still available I'm seriuos Click to expand... hey