Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya.[emoji419][emoji375]Habarii Wana JF
Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali
Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa.
Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28, 29, 30.
Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi wangu wamekwisha kataa wanaume wawili waliokuja wa dini tofauti Kiukweli napata walio serious ila dini tofauti na wazazi wangu ni viongozi wakubwa kanisani.
PLS: KAMA UPO SERIOUS TUKUTANE PM
Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya.
MUNGU AWABARIKI
Please channel your energy to something else
Kadiri umri unavyosogea utajifunza kuumba busara katika midomo yakomi nina 28 sawa nina watoto wawili na sina kazi nakuoa ila baada ya mda naoa mwingine kama upo tayari nakuja Pm nauli naandaa
Sina ndugu yangu.Una maajabu gani?
Mmh! Mungu akuweke uishi mpaka uzee wako!Kisha ujionee mwenyewe kwa watoto wako haya unayoyasikiaga tu kama simulizi kwa walimwenguHao unaosema ni serious si walikukula tu!
Eti wewe si mwepesi, sealed ipo?
Nitafutie kadogo kakooHabarii Wana JF
Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali
Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa.
Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28, 29, 30.
Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi wangu wamekwisha kataa wanaume wawili waliokuja wa dini tofauti Kiukweli napata walio serious ila dini tofauti na wazazi wangu ni viongozi wakubwa kanisani.
PLS: KAMA UPO SERIOUS TUKUTANE PM
Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya.
MUNGU AWABARIKI
Mie niunganishie mdogo wakoMmh! Mungu akuweke uishi mpaka uzee wako!Kisha ujionee mwenyewe kwa watoto wako haya unayoyasikiaga tu kama simulizi kwa walimwengu
Nichek 0679299192Habarii Wana JF
Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali
Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa.
Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28, 29, 30.
Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi wangu wamekwisha kataa wanaume wawili waliokuja wa dini tofauti Kiukweli napata walio serious ila dini tofauti na wazazi wangu ni viongozi wakubwa kanisani.
PLS: KAMA UPO SERIOUS TUKUTANE PM
Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya.
MUNGU AWABARIKI
Kila la heri, hope utafanikiwaHabarii Wana JF

Heeh! Na namba kabisa!Nichek 0679299192
Jamani mume utampataje wakati unatongozwa unakataa utapatajeeeHabarii Wana JF
Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali
Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa.
Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28, 29, 30.
Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi wangu wamekwisha kataa wanaume wawili waliokuja wa dini tofauti Kiukweli napata walio serious ila dini tofauti na wazazi wangu ni viongozi wakubwa kanisani.
PLS: KAMA UPO SERIOUS TUKUTANE PM
Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya.
MUNGU AWABARIKI
mimi mzee wa mizimu watanikubari kweli?Habarii Wana JF