Natafuta mume mwema

Natafuta mume mwema

kinyanshanani

Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
7
Reaction score
1
Mimi ni mwanamke umri miaka32 Nina mtoto 1 wa miaka 5 nimeokoka nampenda yesu ila umefika wakati nahitaji mwenzi mwenye mapenzi ya kweli nitakaefunga nae ndoa na awe ni mtafutaji kama mimi miaka34-42.

Tuwasiliane kwa email karungimiteni@yahoo.com kwa atakaekuwa serious
 
Kama utagharimikia wewe gharama za ndoa na mahali mi nipo tayari kukuoa
 
Kama utagharimikia wewe gharama za ndoa na mahali mi nipo tayari kukuoa

Sema nipo tayari kuolewa. Mahali atoe mwanamke na gharama za harusi hapo utakuwa umeolewa sio umeoa.
 
Kila la kheri utampata umpendaye lakini kwa vigezo vya umri huo kuwa makini humu
 
Huna vigezo mpk umekuja kusak soko jf
ww tulia wanaume watakuja tu umeamua kuja kutafut mme jf km wahaya
 
Changamkieni fursa, isije ikatokea km yule dada ruban ooohh
 
Wewe mwenyewe ni mke mwema? Na je unamapenzi ya dhati?
 
Ebu tuelezee kwanza ilikuaje ukawa na mtoto kabla ya ndoa
 
Mmi ni mwanamke umri miaka32 Nina mtoto 1 wa miaka 5 nimeokoka nampenda yesu ila umefika wakati nahitaji mwenzi mwenye mapenzi ya kweli nitakaefunga nae ndoa na awe ni mtafutaji km Mimi miaka34-42 tuwasiliane kwa email karungimiteni@yahoo.com kwa atakaekuwa serious
JE WEWE NI MJANE ? Huyo mtoto ulimpataje ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom