pole sana dada umetumia usichana wako vibaya sana, umekuwa mtumba hutopata mchumba kwa watoto hao kwani wanaume siku hizi ni wajanja sana.
Ushur wangu afta kibabukimoja ukie tuu
Pole sana kwa mitihani
Habari wana JF,Mimi ni mwanamke mkristo,mwenye umri wa miaka 33, ninaishi moshi lkn ni mtu wa nyanda za juu kusini,Nina watoto 2.Natafuta mchumba ambae Mungu akipenda tutakuwa mume na mke,awe na umri kuanzia miaka 35 na kuendelea,awe mwadventista msabato,mwenye hofu ya Mungu. Akiwa na watoto itakuwa vema,otherwise nyote mnakaribishwa pm.
hakuna kinachoshindikana kwa Mungu mpendwa, haijalishi hata km ungekuwa na watoto 5 Mungu anaweza kabisa ww muamini na mume utampata. Nakutakia kila la heri Mungu akujalie by mwakani uwe na huyo mume ndani ya nyumba, usivunjike moyo mwaya.
Baba wa hao watoto yuko wapi mpaka unatafuta baba mwingine?
mimi muadventista pure, hebu ni PM namba yako kabisa na hapa sitanii hata kidogo naoa live