Kwani kanisa zote za SDA dar hamna wacha Mungu, kama unataka kuona maisha ni machungu bora ufe oa msabato mshika dini loh!!!!! Hata wenyewe kwa wenyewe wana ogopana.Mume mcha Mungu atoke wapi? Labda wanaoigiza wamcha Mungu hao ndo wengi mno
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe maji ya kunde au mweusi
tall dark and handsomeπAsiwe mnene sana au mwembamba sana
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Ni hatariKwani kani kanisa zote za SDA dar hamna wacha Mungu, kama unataka kuona maisha ni machungu bora ufe oa msabato mshika dini loh!!!!!
Mimi mcha Mungu tatizo masharti mengi sana tatizo ππMume mcha Mungu atoke wapi? Labda wanaoigiza wamcha Mungu hao ndo wengi mno
Chukua chuma hichotall dark and handsomeπ
Na umeoa,ajue Hilo piaMimi mcha Mungu tatizo masharti mengi sana tatizo ππ
Jf wasabato ni adimu sana...wahi kanisani mwayaKama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu , awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kwanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.
Sifa zangu:
Nina miaka 24 , nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nmeajiriwa serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida , mweupe kwa rangi.
Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
Kwa kweli ni mdogo, sijui hio pressure kaitoa wapi? Au kaona wenzie wakiolewa?Miaka 24 unasaka wanaume mitandaoni? π³π³π³
Mimi nipo hapaMume mcha Mungu atoke wapi? Labda wanaoigiza wamcha Mungu hao ndo wengi mno
Angelegeza masharti tungeona namna yakusaidiana tu, binti mdogo kabisa huyu 24yrs na ana digrii, probably kamaliza chuo mwaka jana, kaona yule boyfriend wa chuo haeleweki.Na umeoa,ajue Hilo pia