Kaka chukua jiko ilo.Mungu akufanyie wepesi mpendwa.
Kaka soma vizuri andiko anataka aliye serious nami siko serious...Kaka chukua jiko ilo.
Nyie mnaoanza kiutani utani, ndio mnakimbiaga watoto.Kaka soma vizuri andiko anataka aliye serious nami siko serious...
Mapenzi yanachanua yenyewe, tuanze hivi hivi kiutani utani, userious utakuja automatikali.
Kama yupo tayari tuanze kiutani utani mie sina shida.
๐๐คฃ
220 km/h halafu chuma ikavamie mnazi, hatoki mtu hapo. ๐๐คฃNyie mnaoanza kiutani utani, ndio mnakimbiaga watoto.
Ingia na full gear. 220 km/h ๐ ๐
Trust your air bag chief. Lazima utoke salama ๐ ๐ ๐220 km/h halafu chuma ikavamie mnazi, hatoki mtu hapo. ๐๐คฃ
Tuanze mdogo mdogo kwanza
Airbag yenyewe haichelewi kukusaliti, kukuvunja mbavu etc.Trust your air bag chief. Lazima utoke salama ๐ ๐ ๐
Muda wa kuanza mdogo mdogo umeshapita. Now ni mwendo wa ngiri tu
Hapo unatafuta wanaume wanne tofauti. Kaa chini tena udraft tangazo upya.Vigezo
Awe na 38-45
Dini yoyote
Awe na shughuli nipo serious nimechoka kukaa single aliyeserious aje pm
Mimi
Umri 30
Ninajishughulisha
Nina mtoto
Naishi Dar
Mengine tutaaambizana
Pole nimekuonea huruma , sanaaa usijali nicheki pm niwe rafiki mm ni mdogo kwako,ilร vigezo ninavyo vyote na zaidi, si ndoa bali kuwa mshikajiKwamba bila ndoa unakufa upumui tena mkuu
Kwahiyo soon nakufa
Kuishi Kigoma inataka moyo....sidhani kama atakuwa tayariTunaongea nae maisha popote๐