Natafuta mwanaume anayehitaji mwanamke wa kuishi naye awe na sifa zifuatazo; ;;;awe mzaliwa wa mikoa ya kaskazini, hajawahi kuoa, umri -32-37,elimu, form. 6, mkristo (r.. c ).mwenye nidhamu.
Legexa mashart. Utapata.
Nakushauri mashart weka yafuatayo.
1 umri miaka 18+
2. Jinsia .Mwanaume.
4. Elimu .ajue kusoma na kuandika.
5. Awe na akili timamu.
Mengine yote futa. Afu sasa weka sifa zako ili anae kutaka ajitathumini.
Mwisho
Mke wangu usi+mind nimecangia tu maana utaisoma hii comment