mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,282
- 6,162
Pole sana mrembo ww ila usikate tamaa utapata hitaji la moyo wako



Nakubali haraka harakaKama hana na ikatokea akayakubali hayo mazingira yako je unamkataa![]()


AsanteeeeePole sana mrembo ww ila usikate tamaa utapata hitaji la moyo wako
Hahaaaaaa nikubalie na mm Basi huko PM
HahahaMmmhhh....!! Kitumbua kimeingia mchanga, hakiliki
Hahahaaaaa usijibu tena comments za watu nishaanza wivu
Ni mashem Shem usijali, tutawapa kadi za mchango wa the big weddingHahahaaaaa usijibu tena comments za watu nishaanza wivu

Ni mashem Shem usijali, tutawapa kadi za mchango wa the big wedding
Sent using Jamii Forums mobile app


Baby huku kunavijana wa hovyo watakukula kimasiharaWanaogopa babe,hawathubutuBaby huku kunavijana wa hovyo watakukula kimasihara
Punguza nyegeBaby huku kunavijana wa hovyo watakukula kimasihara
Kuna watu wakikuamulia hawaangalii unaumwa nini mradi wapozee upwiru watajiuliza wakishakojoa PEP zipo watameza Mwezi mzima
Hahaaaaaa zitoke wapi Mimi sio kataa ndoaPunguza nyege