Natafuta mume aliye serious

Hahahahahaha sa hao walimu wa primary mbona umewanyanyapaa hivyo??
 
Nenda jeshini utapata mume aliye serious wao ni kazi yao kuwa serious.
 
...Nakushauri usome vitabu vya mchungaji Trobtich, kimoja kinaitwa LOVE IS A FEELING TO BE LEARNED, I LOVED A GIRL NA I MARRIED YOU. Vitakupa picha nzuri japo najua mapenzi hayana shule. By Mwl Mpitagwa, Mtakuja Primary School

Walter Trobitch...ama hakika mkuu ukivisoma hivyo vitabu unapata mwanga sana juu ya mahusiano yapelekeayo ndoa!
 

Nipo tayari umri ndio tatizo
 
Eti walimu wa primary hawaruhusiwi.
wewe unafikiri walimu hao wana shida na wewe?
walimu wa primary wanaletewa wachumba kila mwaka ko hawana haja nawe.
 
ww kwa hayo masharti utakuwa unatandikwa kila kukicha maana mwenyee haupo serious, utawakataje wa primary, unataka mume kwel ww!!
 
Everybody back home(KENYA) is yeaning to get a primary school teacher, while here in TZ ladies don't want them. Oookey, I thnk I know y; they are less educated. Lakini si bora kipato? Poor them!!

Or...back to your home(Kenya), ladies have lower standards.
 

ha ha ha haaaa,nimecheka sanaaaaa,aiseeee....MWALIM WA PRIMARY HARUHUSIWI,WHY????? rajack
 
Last edited by a moderator:
ww kwa hayo masharti utakuwa unatandikwa kila kukicha maana mwenyee haupo serious, utawakataje wa primary, unataka mume kwel ww!!

nimecheka sana,,,,,hapo kwenye kazi ya serikalini na mwalimu wa PRIMARY
 
Nafikiria Mungu nae angekuwa anachagua watu awapendao yaan ingekuwa tabu tupu!. Ungesema unamtaka anayejiheshmu, awe toka mkoa wowote, asipende kumtenda dhambi Mungu kwa makusudi, n.k hayo mambo mengne ni ya kupita. anaweza akawa mwalimu na akajiendeleza hatimae akabadilisha kaz, nakutakia kila laheri unaweza ukakuta mume uliyepangiwa na Mungu hatoki mikoa hiyo. Kitakachofuata utakuwa unalia ndoa inakusumbua kila kukicha
 
Weka picha yako,tuone kama ni mzuri,mwanamke hatafuti mwanaume mitandaoni,utakuwa na tatizo!
 
Nimekidhi vigezo vyoteeee,naomba uni PM
 
umeshapata mume tayari humu jamvini? madam rajack
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…