mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana,mkristo ,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni sms kwa namba 0717742522.
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni sms kwa namba 0717742522.
kwanini sms!!hii namba yako kabsaaaa?sasa kama umeweza kuweka namba hapa si uweke na picha kabisa!!...sms kwa namba 0717742522.
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni sms kwa namba 0717742522.
siyo lazima upate kazi ya kuajiliwa......tafuta mahali ujitolee hata kama hawatakulipa chochote cha msingi wewe upate experience na CV yako ionyeshe atleast baada ya kumaliza chuo ulikuwa unafanya nini na wapi.......kuliko kukaa nyumbani tu na kusema kazi hakuna.........nenda kaombe hata za kujitolea mdada mwisho wa siku utafanikiwa kupata ya kudumu.kama kupata kazi ni ishu.si bora nitafute mume?
si analea watoto jamani......watoto watapata malezi ya mama full time.....teh teh teh.kazi kweli kweli.. yan maisha haya nioe golikipa!
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni Pm
siyo lazima upate kazi ya kuajiliwa......tafuta mahali ujitolee hata kama hawatakulipa chochote cha msingi wewe upate experience na CV yako ionyeshe atleast baada ya kumaliza chuo ulikuwa unafanya nini na wapi.......kuliko kukaa nyumbani tu na kusema kazi hakuna.........nenda kaombe hata za kujitolea mdada mwisho wa siku utafanikiwa kupata ya kudumu.
NOTE:
Mume wa kweli ni kazi.