M manyusi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2009 Posts 292 Reaction score 170 Mar 4, 2014 #1 Habari wana jamvi,nahitaji muhasibu mwenye diploma awe tayari kufanya kazi mazingira ya vijijini kwenye site za ujenzi kwa aliye tayari tuwasiliane kwa akamanyusi@yahoo.com.
Habari wana jamvi,nahitaji muhasibu mwenye diploma awe tayari kufanya kazi mazingira ya vijijini kwenye site za ujenzi kwa aliye tayari tuwasiliane kwa akamanyusi@yahoo.com.
Tujisahihishe Tz Platinum Member Joined Nov 17, 2011 Posts 3,061 Reaction score 1,367 Mar 4, 2014 #2 mkuu mkoa gani? ungeweka mawasiliano ya simu ingekuwa poa zaidi