Natafuta mtu wakunipa hifadhi ya Siku 3 Mtwara

Vipi guest mkuu?
Guest ni kuanzia 7k unalala zipo zimejazana tu.Kama unataka guest ukifika mtwara chukua bodaboda halafu muelekeze akupeleke guest za hiyo bei atakupeleka but muambie iwe maeneo ya town itakuwa rahisi kwenda hapo bandari secondary.Halafu chakula usihofu mtwara chakula bei chee buku unakula unashiba bajeti ikibana unakula hata mihogo

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Anayestahili kupewa hifadhi inafaa mkutane naye wapi?
Kwa akili hizi tusitegemee vijana critical kwa Sasa. Kwa nn mnapenda mteremko? Msaada una gharama zake Mdogo wangu. 2004 NIliwahi kwenda interview Mtwara nikiwa na 50,000/= tu nikalala Guest 5,000/= . Japo Hapo Nina ndugu wengi tu
 
Usirudie tena huo mchezo wa kutafuta mitandaoni. Wewe dogo utaishia kuingiliwa na wanaume wenzio.
Lodge zipo Hadi 7000 unalala. Tena usirudie tena. Unakaribisha ushoga wewe.
 
Yeye anataka "mtu" wa kumpa hifadhi, huenda mtoa mada Ana upweke so anataka kumtunuku yeyote Happ ntwara
 
Akikosa option ya kukaa kwa mtu inabidi aende guest house/lodge. Hoteli ni ghali!
 
Kwa akili hizi tusitegemee vijana critical kwa Sasa. Kwa nn mnapenda mteremko? Msaada una gharama zake Mdogo wangu. 2004 NIliwahi kwenda interview Mtwara nikiwa na 50,000/= tu nikalala Guest 5,000/= . Japo Hapo Nina ndugu wengi tu
Hiyo stage nilishaga vuka mbona! Ila elewa kuna watu wanafanyiwa favor na kuvuka vizuri tu.Uzuri kasema chaguo la kwanza likishindikana,atajump to option 2.
 
Hongera kwa kuitwa kwenye usaili. Binafsi, nashauri tafuta guest/lodge yenye gharama ambazo utazimudu na ufikie hapo. Kwa umri ulionao kuna suala la privacy nakadhalika. Mara nyingi, cheap is expensive. Kila lakheri kwenye usaili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili hizi tusitegemee vijana critical kwa Sasa. Kwa nn mnapenda mteremko? Msaada una gharama zake Mdogo wangu. 2004 NIliwahi kwenda interview Mtwara nikiwa na 50,000/= tu nikalala Guest 5,000/= . Japo Hapo Nina ndugu wengi tu
Hivi akifunguka mengi akakwambia hata hela ya nauli anatarajia kuomba kwa mtu ambaye kamwahidi atampa siku ya mwisho ya safari yake utasemaje, kuna magumu kwenye maisha ukisimuliwa Huwezi amini utaona unaishi paradisini.
 
lala stand ya basi pale Mtwara, iyo ela kidogo uliyonayo utatumia kula
acha kupenda mteremko, sio mzuri
 
Nipo Mtwara Nina mwezi sasa, nilikuwa mgeni Kama wewe, usihofu, Ukifika shuka pale stendi mpya panaitwa mkanaledi.
Mimi naishi Shaghani ni karibu na stendi hiyo nitakupa hifadhi Nimepangishiwa nyumba nzima na ofisi utakula utalala dada wa kazi yupo. Unaweza kunipm.
 
Ungekua KE ningekukaribisha hapa geto kwangu mitaa ya Magomeni
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…