Top007 Member Joined Jan 15, 2024 Posts 13 Reaction score 18 May 14, 2024 #1 Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Mashara : 300k ~ 400k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : 0678650509
Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Mashara : 300k ~ 400k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : 0678650509
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,025 Reaction score 13,334 May 14, 2024 #2 Masoko ya nini bidhaa gani
D DALALI MKUU JF-Expert Member Joined May 7, 2022 Posts 2,574 Reaction score 6,118 May 14, 2024 #3 bidhaa gani mkuu
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,687 Reaction score 19,357 May 14, 2024 #4 Mimi sijasomea masoko ila naweza kuwa Mwijaku kwenye biashara ntaipamba upate masoko
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,111 Reaction score 27,699 May 14, 2024 #5 Ndo wakatembeze mabeseni
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,136 Reaction score 21,875 May 14, 2024 #6 Ukifika 3M ncheki najua naweza kuirudisha hio pesa
Top007 Member Joined Jan 15, 2024 Posts 13 Reaction score 18 May 16, 2024 Thread starter #7 DALALI MKUU said: bidhaa gani mkuu Click to expand... Sembe na dona
D DALALI MKUU JF-Expert Member Joined May 7, 2022 Posts 2,574 Reaction score 6,118 May 16, 2024 #8 Top007 said: Sembe na dona Click to expand... Sasa simu uliweka afu hupokei mara upo kwenye mishe niandikie sms... Kama haukuwa serious kwanini unasumbua vijana mkuu?
Top007 said: Sembe na dona Click to expand... Sasa simu uliweka afu hupokei mara upo kwenye mishe niandikie sms... Kama haukuwa serious kwanini unasumbua vijana mkuu?
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 10,998 Reaction score 23,496 May 16, 2024 #9 Mshahara ungeweka wa kueleweka sio unaweka figure mbili hiyo haijakaa sawa.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,960 Reaction score 26,135 May 17, 2024 #10 DALALI MKUU said: Sasa simu uliweka afu hupokei mara upo kwenye mishe niandikie sms... Kama haukuwa serious kwanini unasumbua vijana mkuu? Click to expand... Hamna mwajiri hapo
DALALI MKUU said: Sasa simu uliweka afu hupokei mara upo kwenye mishe niandikie sms... Kama haukuwa serious kwanini unasumbua vijana mkuu? Click to expand... Hamna mwajiri hapo
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,623 Reaction score 21,321 May 17, 2024 #11 KAZI ni kipimo cha UTU