Natafuta mtu wa kuuza VODASHOP

Natafuta mtu wa kuuza VODASHOP

van mab

Senior Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
103
Reaction score
61
Anahitajika mtu wa kufanya kazi kwenye Vodashop .
Sifa;
Awe anakaa mbezi au kimara..
Awe na Elimu ya form 4
Ajue kuongea kiingereza
Awe msichana wa miaka 18 mpaka 30.
Mawasiliano 0715407508
 
Pia awe anajua kutumia computer
 
Laini ya mpesa niuzie, sina vitambulisho....nakutafutia mfanyakazi graduate
 
Unataka till .. Una shilingi ngapi
 
Kama mpesa siku hizi wanasajili line, kuuza simu na voucher, pamoja line swoop . . basi sawa
 
Anahitajika mtu wa kufanya kazi kwenye Vodashop .
Sifa;
Awe anakaa mbezi au kimara..
Awe na Elimu ya form 4
Ajue kuongea kiingereza
Awe msichana wa miaka 18 mpaka 30.
Mawasiliano 0715407508
Mwisho Wa offer yako ni lin
 
Wasichana waaminifu wavulana hawachelewi kusepa na mkwanja!
Wasichana wengi wao mbali na uaminifu, wana kauli nzuri yaani custumer care ..ingawa pia wapo wanaume wachache waaminifu na wenye kauri nzuri pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom