Hii sio requirement ya Inventory. Hii ni ERPHello developers
Ataka mtu wa kutengeneza IMS ya products.
Kigezo ni kunionyesha kazi zako au demo.
Malipo ni maelewano (ila bajeti yangu ni laki mbili mpaka 1M). Kwaiyo inategemea na kazi yako
Mawasiliana DM
My features list.
Dashboard
All( profit and loss, expenses,sale, income .............)
Invoives
Package
Shipped packages
Delivery package
Sales
Sales returns
All sales
Products & servives
Customera
Expensive
Vendors
Bills
Suppliers
Employeea
Reports
Taxes
Account
Sina uwezo wa kutoa kwa mambo yote nimeandika hapo ila tu nawezakusema hayo ni mambo nataka yawepo kwenge sofware yangu.
My features utakuwq umeelewa nataka nini ila Nakaribisha mawazo yako pia.
Asante
Hii sio requirement ya Inventory. Hii ni ERP
Na hapo kuna Accounting, Inventory na Payroll kwa haraka haraka nikiangalia.
Kwa hiyo pesa hakuna anayeweza kukutengenezea. Unless awe anafanya customizations ya existing ERP
Ni kwa ajili ya biashara zako?Sawa mkuu nimekuelewa. Mimi ndo bugdet yangu hiyo
Kama ni hivyo unajipa mzigo wa bure. Akiisha kukutengenezea umeshawazaBiashara zangi binafsi
Kama ni hivyo unajipa mzigo wa bure. Akiisha kukutengenezea umeshawaza
1. Nani atashughulikia na mambo ya maitainance ya Server (kulipia, updates/upgrades et al)
2. Kukitokea tatizo nani atatatua (kumbuka amelipwa kutengeneza tu na kamaliza)
3. Ukihitaji kitu kipya na mtengenezaji ukashindwa kumpata (inatokea sana) au mtengenezaji yuko bize na project nyingine utafanyaje?
Ukijumlisha hizi gharama zote na usumbufu wake huoni kuwa utakuwa unalipa pesa nyingi sana?
Ni maamuzi yako, ni pesa zako. Ila ningelikuwa mimi ninge outsource hayo mambo yote ili nibakie kusimamia core business badala ya kuhangaika na mambo ambayo siyo core kwangu, yakinipotezea wakati na fedha.Najua mkuu, ikiwa nahitaji kitu kpya kiongezeke au kupunguza, hiii nitalipia, si lazima mtu yule yule, alafu platfrom zote kuendesha lazima gharama ziwepo,mimi nataka mfumo wangu binafsi ili niendeshe ninavyotaka.
Duh tafuta wanafunzi wa udom watakupigia hata kwa laki5Bugdet yako mwisho ni 1M tu
Customization ni kazi ngumu kuliko kuanza upya, labda kama uliitengeneza mwenyewe. Nishajaribu kufanya customization ni pasua kichwaHii sio requirement ya Inventory. Hii ni ERP
Na hapo kuna Accounting, Inventory na Payroll kwa haraka haraka nikiangalia.
Kwa hiyo pesa hakuna anayeweza kukutengenezea. Unless awe anafanya customizations ya existing ERP
Uliruka step 1, learning. Kabla ya kufanya cusomization ya software yoyote lazima usome na kuelewa documentation ya namna ya kufanya hiyo cusomization.Customization ni kazi ngumu kuliko kuanza upya, labda kama uliitengeneza mwenyewe. Nishajaribu kufanya customization ni pasua kichwa