Natafuta Mtu wa kuendesha Biashara yangu

Natafuta Mtu wa kuendesha Biashara yangu

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Namtaka kijana yeyote mwenye Knowledge na Computer Basics
ambaye atakuwa ananisaidia kufanya Biashara yangu

ref:Unlimited Internet

Vigezo vya elimu sitajari hali mradi anajua computer basics

Nafanya hivo sababu nimebanwa na masomo na nakaribia kufanya mitihani yangu ya mwisho

Nafasi ni Moja

Mawasiliano:ANGALIA NAMBA KWENYE SIGNATURE YANGU
 
taja na eneo mkubwa ili tutizame na ishuza kukwepa foleni

Am sorry chance taken

May be piga namba ya simu ili uweze kuhudumiwa na kijana wangu

Atakupa unlimited mwezi mzima bila kikomo utadownload mpaka utaseme mhhhhhhhh
 
Fanya buku tano upate wateja wa kumwaga

Buku 5 nayo ni hela lkn haina masilahi na huduma ni ya quality kubwa kuna lient wangu kaitumia kaongeza hela ya ziada sababu kanambia kaitumia siku ya 7 sasa na kadownload 99GB a movie

Na hiyo elfu tano ni addition kwa kila begginner
 
Back
Top Bottom