Natafuta mtu wa kubadIlishana nae kituo cha kazi

mis lemich

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
207
250
Habari zenu wandugu
Mimi ni nurse daraja la afsa muuguzi daraja la pili(RN) nipo wilaya ya iramba. Singida ...Natafuta Wakubadilishana nae kituo cha kazi atoke , ARUSHA IGUNGA, DODOMA, MOROGORO, SHINYANGA, KILIMANJARO,TANGA, tuwasiliane kupitia email. Leonidarosemichael@gmail.Com.
 

mis lemich

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
207
250
Ila itakuwa ni kwa muda.. Mh. Maana hatabiriki ataruhusu mwaka wa fedha ...Ni bora tuwe tumepatana ...
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
17,652
2,000
Ukame wako na namba ya simu unamahusiano gani
JF (Jamii Forums) kuna pm (private message) yaani ungeweka tangazo lako bila kuweka mawasiliano yako kila mtu akaona.
Ambaye angevutiwa na tangazo lako ungemwambia aje pm, huko ndiyo mngebadilishana mawasiliano.

Inawezekana mdau kakutania lakini kuna mtu atapiga simu akiwa siriasi kua ana ukame.

Pole
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom