M Mchinox JF-Expert Member Joined Jan 20, 2023 Posts 242 Reaction score 268 May 10, 2023 #1 Wana JF natafuta mtu mwenye cheti cha uuzaji wa maduka ya dawa ADDO, akipatikana jinsia ya kike itakua vizuri zaidi. Mkoa ni Ruvuma, Songea mjini.
Wana JF natafuta mtu mwenye cheti cha uuzaji wa maduka ya dawa ADDO, akipatikana jinsia ya kike itakua vizuri zaidi. Mkoa ni Ruvuma, Songea mjini.
M Milles Montego Member Joined May 31, 2021 Posts 96 Reaction score 286 May 10, 2023 #2 Ruvuma mbali asee bora dogo ale bure nyumbani na diploma yake ya pharmacy
M Mchinox JF-Expert Member Joined Jan 20, 2023 Posts 242 Reaction score 268 May 11, 2023 Thread starter #3 eee ale ivoivo ugali wa bure