Natafuta mtu kwa ajili ya duka la Tigo Pesa na Mpesa

Nkuba25

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,341
13,021
Habari wanabodi

Natafuta mdada kwa ajili ya kusimamia duka la Tigo Pesa na MPesa.

Duka lipo Kinondoni.

Asante sana.
 
kwani wakaka hawawezi hiyo kazi, contact zako, weka details za kutosha
 
Wanajamvi natafuta msichana wa kazi za ndani nipo Arusha namba yangu 0766018018
 
Habari wanabodi

Natafuta mdada kwa ajili ya kusimamia duka la Tigo Pesa na MPesa.

Duka lipo Kinondoni.

Asante sana.
huyo mweusi atafaa kwa kazi yako?
 

Attachments

  • 1457711803140.jpg
    1457711803140.jpg
    51.5 KB · Views: 82
Back
Top Bottom