SAIZI YANGU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 381
- 83
Nina eneo kama hekali 5 huko Mbondole hapa DSM. Nataka kulitumia eneo hilo kwa ajili ya ufugaji pamoja na kilimo cha mboga mboga. Natafuta mtu/Kampuni ambayo itanifanyia tathmini ya matumizi ya eneo hilo ikiwa ni pamoja na design ya majengo kutokana na kusudio langu.