Natafuta mtu anayeuza sindano za kutengenezea carpets

Natafuta mtu anayeuza sindano za kutengenezea carpets

Bongo Trust

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
253
Reaction score
249
Jamani nimezunguka majukwaa mengi natafuta mtu anaeuza sindano za kutengenezea carpets za namna hii popote pale Tz, maana nimehangaika kutafuta hadi sio poa, nimekuja na humu mnisaidie kwa muuzaji au mtu anaetengeneza au mtu anaejua zinapopatikana anipe connection.
Kuna jamaa fulani wanatembeaga maeneo mbali mbali kufundisha ujasiliamali walisema wanaziuza ila namba zao nimepoteza,wanaitwa DALE ENTERPRISES mwenye contact zao pia naomba anisaidie

20220801_193346.jpg
View attachment 2311414
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom