Natafuta mteja wa Tangawizi

Natafuta mteja wa Tangawizi

engineerben

Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
14
Reaction score
6
IMG_20170630_143629.jpg
IMG_20170630_143536.jpg


Nina tangawizi iliyo shambani, imekomaa vizuri. Shamba ni heka 1. Kwa mteja aliye tayari kwa bei ya 3,000ths /kilo, tuwasiliane ili mavuno yafanyike.
0765101107
 
Back
Top Bottom